| |
| | Biblie Mwongozo Wetu (Site not responding. Last check: ) |
 | | Wanaamini ya kuwa wale wanaomfuata Yesu na mitume wake sasa, wakimtazamia kwa nguvu na msamaha kutoka kwa Mungu waweza kuweka tumaini lao kwa kuja kwake tena duniani atakapouleta uzima wa milele kwa watu wake, na aimarishe kwa nguvu ufalme wa Mungu ulioahidiwa tangu zamani. |
 | | Biblia yaelekeza kila kitu kwa Mungu, yaani, Baba; na nia yote ya Mungu; katika Yesu, yaani, Mwana wa Mungu; na yafunua kazi ya Mungu katika manabii, mitume na watakatifu kwa nguvu zake nwenyewe, yaani, Roho Mtakatifu. |
 | | Kwa hivyo Biblia yawapa nguvu Wakristo wa kweli kumkumbuka Bwana katika kuumega mkate kila mara, na wapate kumkumbuka bila kukoma katika maisha yao, wakingoja kwa hamu kuja kwake mara ya pili. |
| www.morrellcom.com /TheBible/kenya/BibGuid.htm (3177 words) |
|