Factbites
 Where results make sense
About us   |   Why use us?   |   Reviews   |   PR   |   Contact us  

Topic: Mkoani


In the News (Wed 15 Feb 12)

  
  UHURU 18   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
Akiwa mkoani Mbeya, kwa mujibu wa Kikungwe, Salma atakwenda wilayani Mbarali ambapo atakuwa na mkutano na wakazi wa wilaya hiyo watakaokutana mjini Rujewa kabla ya kuelekea mkoani Iringa kwa madhumuni kama hayo.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili mkoani Mbeya unaonyesha kuwa upinzani una kazi ngumu ya kupata ushindi katika viti, hasa vya ubunge, kutokana na kutokuweka mtandao wa kutosha wa kukubalika, wakati kwa upande wa urais vyama hivyo havina nafasi.
Kikungwe alisema chama mkoani Mbeya kimekuwa imara na kinafanya uchunguzi wa kina kuona madai ya kuwa kuna baadhi ya viongozi wanawashabikia wagombea wa upinzani.
www.ccmtz.org /magazeti/uhuru1809.htm   (2793 words)

  
 Pemba Island, Zanzibar
Mkoani - is the main sea port of Pemba and the administrative centre of the district.
The sea port at Wete was once a very important gateway to the island of Pemba but poor maintenance of the jetty and the upgrading of Mkoani warf has dropped down the use of her sea port.
Kengeja - located in Mkoani district it was once an important semi-urban centre but most businesses have closed down at the moment with poor prospects of revival.
www.zanzinet.org /zanzibar/pemba/pemba.html   (1361 words)

  
 Pemba, Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
People come from as far away as Zaire to seek spiritual and physical healers.
The most important towns in Pemba are Chake Chake, Mkoani, and Wete.
The island of Pemba, known as 'Al Kuh Dra' (the green island), is situated 20 miles north-east of Zanzibar and is the most important growing area for cloves.
en.wikipedia.org /wiki/Pemba,_Tanzania   (383 words)

  
 Mkoani, Tanzania
Mkoani is the main seaport at Pemba Island, located in the southern portion of the island.
Mkoani makes an ideal base for visitors traveling to the southern and central parts of Pemba Island.
The town of Mkoani overlooks a wide bay and fishermen load their carts from a shallow beach on each side of the landing.
www.planetware.com /tanzania/mkoani-tza-zza-mko.htm   (127 words)

  
 Jumla ya wanafunzi 1,106 mkoani Lindi hawakuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari
Jumla ya wanafunzi 1,106 sawa na asilimia 71 ya wanafunzi 1,543 waliofaulu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wilayani Kilwa mkoani Lindi hawakuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari kutokana na uhaba wa shule za ngazi hiyo wilayani humo.
Amesema kati ya wilaya sita mkoani Lindi, wilaya hiyo ya Kilwa imeshika nafasi ya tatu kutoka nafasi ya nne Mwaka jana na kitaifa imepanda kutoka nafasi ya 86 iliyoshika mwaka jana hadi 64 mwaka huu.
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Bwana Nicodemus Banduka ametoa wito kwa kila kata mkoani humo kujenga shule za sekondari za kutwa ili kutoa nafasi kwa wanafunzi wengi wanaofanya vizuri katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi na kushindwa kujiunga na elimu ya sekondari kutokana na uhaba wa shule hizo.
www.ippmedia.com /ipp/radio1/2005/12/27/56653.html   (233 words)

  
 guide book, zanzibar island, zanzibar
Mkoani is Pemba's third town and the port of entry for most of the boats from Zanzibar and Dar es Salaam.
The old centre is bypassed by a traffic-free dual carriageway, similar to that at Mkoani and flanked by some interesting commercial buildings dating from the middle of the 20th century.
Like Mkoani, the port lies at the bottom of a steep hill, where fish are landed and carried up to town plaited in strings and tied on yokes, or piled in the back of ox-carts.
africatravelresource.com /africa/E/zanzibar/safariguide/Z51-pemba.htm   (4106 words)

  
 Pemba   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
The ferry is in a town named Mkoani, it is located at south part of Pemba island, this town has nothing more to do.
From Mkoani to Wete, there is no direct bus, we had to go to Chake Chake then find another Dala Dala to Wete.
On all the way from Mkoani to Wete, it was very obvious that this island was very fertile, greens trees were everywhere, total different from other barren lands.
hardywang.1accesshost.com /world/Tanzania/Pemba   (1004 words)

  
 UHURU 15   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
Alisema, serikali ya CCM kupitia ilani yake ya uchaguzi ambapo si kipindi kirefu wananchi wanatarajia kupata umeme wa gesi, kutoka mradi wa Mnazi Bay mkoani humo.
Sambamba na hiyo, alisema katika kuwa serikali yake inalenga katika kuleta maji yatakayohudumia wananchi wa mkoani hapa, kwa kiwango cha asilimia 90 kwa wananchi wa mjini na asilimia 65 ya wale wa vijijini.
Sheni alitarajiwa kuanza ziara mkoani Ruvuma kuendelea na kampeni zake kwa ajili ya kuinadi CCM katika uchaguzi mkuu ujao.
www.ccmtz.org /magazeti/uhuru1509.htm   (4588 words)

  
 Tanzania (Zanzibar): Report: Part II: Analytic Section: cont. 1   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
However, the annual growth of Urban districts might be higher than the national average if you put into account that many pupils enrol in 5 primary schools of the West districts are living in Urban districts.
A recent survey carried by the Zanzibar Association of the Disable in collaboration with MOE in South and Mkoani districts revealed the existence of 1300 school age children with different type of disabilities in two districts.
If the situation is generalised for all the ten districts of Zanzibar, then the number of children with disabilities who missed schooling might be very big.
www2.unesco.org /wef/countryreports/zanzibar/rapport_2_0.html   (1341 words)

  
 Bongo5 - Nini kilichoikumba polisi mkoani Mbeya?
JESHI la polisi mkoani Mbeya, limeshikwa na kigugumizi katika kutoa taarifa sahihi kuhusu kukamatwa kwa watu watatu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu wakiwa na sare jozi tatu za JWTZ na silaha mbalimbali.
"Naomba unisubiri nimeitwa mara moja mkoani (Ofisi ya RPC), hivyo nitafute baada ya saa moja nitakuwepo ofisini au nitakupigia simu na nitakupa taarifa kamili," alisema Mkuu huyo wa upelelezi mkoa.
Lakini mwandishi alipomfuata ikiwa imepita saa moja na dakika kama 20 muda aliokuwa ameahidi, hakuweza kumkuta ofisini na taarifa zilidai kuwa bado yupo mkoani.
www.bongo5.com /content/view/983   (1028 words)

  
 Bongo5 - Sakasaka ya polisi yanasa magari 83
Kamanda wa Polisi wa mkoa Matei Basilio amesema magari hayo yamekamatwa jana katika muda tofauti na maeneo mbalimbali mkoani hapa.
Kamanda Basilio alisema kuwa baada ya magari hayo kukamatwa, tayari wataalam kutoka Dar es Salaam wamefika mkoani hapa kwa ukaguzi wa magari hayo.
Hata hivyo, polisi katika matukio ya kunasa magari hayo haijafanikiwa kuwanasa waporaji wa magari hayo na inaendelea na msako mkali mkoani hapa pamoja na kuendelea kukamata magari zaidi na vitu vingine vilivyoporwa na majambazi kutoka mikoa tofauti nchini.
www.bongo5.com /content/view/1010   (809 words)

  
 The EastAfrican
DOZENS OF fishing vessels, boats and canoes on Zanzibar's twin island of Pemba are lying idle at Wete and Mkoani ports for the fourth week following strict government measures to curb clove smuggling from the island.
An official in the Chief Minister's Office told The EastAfrican that the government had instituted measures for vessels leaving Pemba following suspicion that cloves were being smuggled in large quantities to neighbouring Mombasa port in Kenya and Tanga on the Tanzania mainland.
More than 500 boat operators are now said to be jobless at the two ports of Wete and Mkoani.
www.nationaudio.com /News/EastAfrican/22012001/Regional/Regional5.html   (441 words)

  
 THE CIVIC UNITED FRONT
Omar Hafidh, from Wete, whose leg was smashed by a bullet.
In one incident, Riot Police officers stopped an ambulance and ordered the doctors to take out all patients, who were being transferred to Mkoani Hospital with severe injuries.
When these police officers were asked why the patients should be unloaded while in such critical condition, they publicly said that they wanted to kill them.
www.zanzinet.org /zanzibar_killings.html   (3028 words)

  
 - ::Welcome to Migoda Tours & Travel Limited::
The main means of visiting Pemba Island are by light aircraft or ferry (unreliable).
The only airport is Chake Chake in the center of the Island, and the main port used by the ferry service is Mkoani in the south-west.
After arriving at the airport there is a vehicle ride to Mkoani Port on a newly built bitumen road which takes approximately 45 minutes.
www.migodatours.com /domestic_flights.html   (165 words)

  
 One of the 1001 Night Stories - Zanzibar, Tanzania - BootsnAll.com
That night's boat trip from Stone Town in Zanzibar to Mkoani in Pemba was one of the lesser 1001 Nights stories.
I had accommodations in Mkoani, on a hill.
After three days in Mkoani (and getting lonesome), I visited Chake Chake, Pemba's main town to find out there was no internet (there was one holy personal computer, if you could afford it).
www.bootsnall.com /travelstories/africa/nov03zan.shtml   (863 words)

  
 Into Tanzania : Safari Guide.
It is not incredibly reliable, sometimes going into dry dock for a month or more, but advanced warning is usually given of such problems.
The boat comes the southern port of Mkoani in Pemba, via Stone Town Zanzibar into the main passenger dock in Dar.
It is not possible to pre-book tickets, but you can purchase them at the docks.
intotanzania.com /safari/tanzania/south/towns/dar/dar-04-31i-pba.htm   (91 words)

  
 Ministry of State (P.O) Regional Administration & Special Forces
Ten Districts (urban, West, North (A), North (B), South and Central Unguja and Mkoani, Chake Chake, Wete and Micheweni - Pemba).
Three Town Councils (Mkoani, Chake Chake and Wete- Pemba).
Nine District Councils (West, Central, North "A", North "B" and South- Unguja and Mkoani, Chake Chake, Wete and Micheweni- Pemba).
www.zanzibargovernment.org /MinStRAdSP_Org.htm   (203 words)

  
 TANZANIA 7/10-30/11
Fredrik Ljungberg was excellent and he scored the important 1-1 goal for Arsenal, who later won the game with 3-1.
We arrived to Pemba early in the morning and decided to stay in Mkoani for three nights and make daytrips from there.
Mkoani: 2 hours with a Dala-dala and costs 1 100 Sh.
www.camacdonald.com /birding/africatanzania2001_HG.htm   (2661 words)

  
 Pemba.NET :: Getting to Pemba
Nearly all passenger ships coming into Pemba arrive at the town of Mkoani, on the southwestern end of Pemba Island.
There is very little if any dhow traffic between Zanzibar and Pemba, and those that do travel arrive in Mkoani.
This is mostly due to the fact that it is illegal for tourists to travel to Pemba from Zanzibar via dhow.
www.pemba.net /getting_to_pemba   (353 words)

  
 birdwatching trip report - Tanzania - October-November 2001 - surfbirds.com
Stonetown to Mkoani, Pemba: The slow ferry, Serengeti, took 8 hours and cost 20 $ for 1st class.
Mkoani to Konde: A local bus took 2 hours and cost 1000 Sh.
173 Grassland Pipit Anthus cinnamomeus lacuum 2 at Mkoani, Pemba 17/11
www.surfbirds.com /mb/trips/tanzania-gust-1101.html   (5552 words)

  
 Maps, Weather, and Airports for Mkoani, Tanzania, United Rep. of
Maps, Weather, and Airports for Mkoani, Tanzania, United Rep. of
Approximate population for 7 km radius from this point: 26483
Google links for Mkoani, Tanzania, United Rep. of
www.fallingrain.com /world/TZ/0/Mkoani.html   (47 words)

  
 JamboTanzania.net - Waikimbia maiti ya ajali Mwanza
Kamanda wa polisi mkoani Stephen Ngowi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa kijana mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina wala umri wake alifika katika ofisi za usalama barabarani akitokea Dar es Salaam akidai kuutambua mwili wa marehemu huyo ambapo alitakiwa kumwita mwenzake ili waweze kutoa maelezo ya utambuzi na kisha kuuchukua mwili huo.
Ngowi alisema kuwa kijana huyo alifika katika ofisi hiyo Machi 5 saa 10 jioni na kudai kuwa mwili huo ni wa mama yake mkubwa kwani alikuwa akitokea mkoani Mwanza kuelekea Dar es Salaam kufuata biashara.
Alisema Kijana huyo alizidi kudai kuwa aliwasiliana na ndugu zake wa Kahama, Shinyanga na kuhakikishiwa kuwa mama yake huyo alikuwa safarini ndani ya basi hilo ambapo walimtaka kufika mkoani Morogoro kutambua kama alikufa au ni majeruhi.
jambotanzania.net /v2/content/view/283/2   (497 words)

  
 Pictures of Mkoani, Tanzania
Arusha, Chake Chake, Dar es Salaam, Kendwa, Kilimanjaro, Lake Manyara, Majengo, Mikumi National Park, Misali Island, Mkoani, moshi, Ngorongoro, Ngorongoro Crater, Pemba Island, Prison Island, Serengetti, Stone Town, Vitongoji, Vumawimbi, Wete, Zanzibar.
As a member you'll have access to your own free and unlimited picture gallery, into which you can upload your Mkoani pictures.
Sharing the gift of R.E.M. 2005-10-02, Mkoani, Tanzania.
www.traveljournals.net /pictures/tanzania/mkoani   (100 words)

  
 Mustafa's Home Page   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
Investigation of structural and hydraulic performance of Mkoani jetty, in Pemba Island.
To achieve better understanding of structural and hydraulic problems of the Mkoani jetty.
To assess coastal engineering data of the area for the existing jetty and also for the future needs as main port in this island.
www.ims.udsm.ac.tz /students/mustafa.html   (70 words)

  
 Middle East Open Encyclopedia: Mkoani   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
This is an extract from The Middle East Open Encyclopedia, made possible through the Wikimedia Foundation.
Iraq Museum International always displays the most recent published revision of the source article, Mkoani; all previous versions may be viewed here.
They link directly to authoring tools for you to start writing a particular article.
www.baghdadmuseum.org /ref?title=Mkoani   (175 words)

  
 swahili_news
MWANAMKE amekutwa amekufa ndani ya duka la dawa baridi wilayani Magu, mkoani hapa baada ya jaribio la kutoa mimba.
Controversial striker Dennis Oliech is likely to make a comeback in the national soccer team that face Morocco in an African Cup of Nations/World Cup qualifying match in...
WAKAZI wa kijiji cha Nyamuma, Serengeti mkoani Mara waliochomewa nyumba zao Oktoba 12, 2001 wam...
archive.wn.com /2005/06/16/1400/swahili_news   (774 words)

  
 ATM kulipia bili za maji rasmi   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
Wateja wa Maji mkoani Arusha wamepigiwa bonge la pande baada ya kuanzishwa kwa huduma ya kulipia maji kwa kutumia Automatic Teller Machines -ATM.
Huduma hiyo mpya imeanzishwa na Benki ya CRDB katika matawi yake mkoani Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha -AUWSA.
Waliendelea kutonya kuwa huduma hiyo itasaidia Waarusha na kuwaepusha kukimbizana na maburungutu ya fedha mitaani kwenda kulipa bili (Si unajua tena na ujambazi ulivyopamba moto mkoani humo).
www.darhotwire.com /dar/Biashara/2005/09/12/9555.html   (169 words)

  
 Mkoani, Tanzania - Location on world map, coordinates and short facts
Mkoani, Tanzania - Location on world map, coordinates and short facts
/ Explore / Tanzania / Locations / Mkoani
Maps and coordinates for Mkoani, Tanzania are approximative and not valid for navigation.
www.traveljournals.net /explore/tanzania/map/m3536692/mkoani.html   (66 words)

  
 DATE   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
vijana utoka kikundi cha vijana cha white orange mkoani kilimanjaro.
Vijana kutoka Mkoani Arusha wa Jimbo la Mashariki KKKT
KIKUNDI CHA VIJANA KUTOKA USHARIKA WA MWANGA MKOANI KILIMANJARO
www.elct.org /TechServ/Radio/youth_past.htm   (3985 words)

  
 Details of: Pemba Island Ports
PortFocus.com, source for port information and local service providers.
General information about the ports of Wete, Mkoani, and Chake Chake, on Pemba Island.
Rate It [ 0.00 / 0 Votes ]
portfocus.com /details/969811010.html   (55 words)

  
 TANZANET Community Co. Ltd(TZ) - ATAKAYEGUSA FEDHA ZA ELIMU KUKIONA – SUMAYE   (Site not responding. Last check: 2007-10-10)
Sumaye alitoa onyo hilo mjini Kibaha mkoani Pwani juzi, baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kabla ya kuanza kwa ziara yake ya siku nne mkoani Pwani.
Akizungumza juu ya elimu mkoani Pwani, katika vijiji vya Miswe, Viziwaziwa na Mlandizi, Sumaye alisema kwamba ndiyo itakayowakomboa wakazi wa mkoa huo katika kupambana na umaskini.
Alisema wakazi wa mkoa huo wana ardhi yenye rutuba na hupata mvua za vuli na masika na wana soko lililo tayari mjini Dar es Salaam.
www.tanzanet.org /article1188.html   (334 words)

Try your search on: Qwika (all wikis)

Factbites
  About us   |   Why use us?   |   Reviews   |   Press   |   Contact us  
Copyright © 2005-2007 www.factbites.com Usage implies agreement with terms.