| |
| | Kituo cha Elimu cha Omani = Oman Studies Centre |
 | | Nyanja zinazopendelewa ni pamoja na Historia ya Omani kwa upana zaidi, Jiografia, Utamaduni, Uchumi, Sanaa, Sheria, Lugha, Historia ya asili na hata inajumuisha mada ndogondogo, kama vile ukusanyaji wa Stempu na medali za zamani. |
 | | Kutoa habari sahihi na za karibuni kabisa kuhusu Omani kwa watafiti, Wasafiri, Waandishi wa Habari na wafanyabiashara. |
 | | Maeneo ya Kijiografia yaliyolengwa na Kituo cha Elimu cha Omani ni yale ya Usultani wa leo wa Omani, sambamba na maeneo ambayo kihistoria yalikuwa chini ya Omani. |
| www.oman.org /sw.htm (543 words) |
|