| |
| | BCSTimes.com- News (Site not responding. Last check: 2007-11-03) |
 | | LEO ndiyo leo ambapo vimwana 10 watapanda jukwaani kutoana jasho katika kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo wa Pwani 2005, katika ukumbi wa Kontena kibaha Mkoa wa Pwani. |
 | | Mgeni rasmi katika shindano hilo anategemewa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Ditopile Mzuzuri akiongozana na Kamanda wa polisi wa mkoa, Ally Mbilikila. |
 | | Mashindano ya Miss pwani 2005 yamedhaminiwa na Nipashe,Channel Ten,TBL kupitia kinywaji cha Redds Premium Cold, Screen Masters,Lion Hotel, Jacks Boutique, Farm Plant na New park Motel. |
| bcstimes.com /darleo?category=3&newsID=1166 (245 words) |
|