Factbites
 Where results make sense
About us   |   Why use us?   |   Reviews   |   PR   |   Contact us  

Topic: Wilaya


Related Topics

In the News (Wed 15 Feb 12)

  
  Wilaya of Relizane massacres of 4 January 1998 - Wikipedia, the free encyclopedia   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Wilaya of Relizane massacres of 4 January 1998
The Wilaya of Relizane massacres of 4 January 1998 took place in three remote villages around Oued Rhiou about 150 miles west of Algiers, during the Algerian conflict of the 1990s.
The massacres were attributed to the GIA, and had been preceded some days before by the Wilaya of Relizane massacres of 30 December 1997.
en.wikipedia.org /wiki/Wilaya_of_Relizane_massacres_of_4_January_1998   (207 words)

  
 LA RÉFORME DU SYSTÈME DE SANTÉ / Abrégé en swahili: Centre de recherches pour le développement international
Wilaya hizo zimeweza kutumia raslimali kidogo na kuweka mikakati kutokana na raslimali hiyo kwa kuweka malengo ambayo yameweza kuboresha mfumo wa utoaji wa huduma bora za afya.
Kwa kutumia mfumo huu timu za manejimenti ya afya katika ngazi ya wilaya zimeweza kurekebisha bajeti zao ili kuweka mkazo zaidi katika matumizi kwa magonjwa yale ambayo yanasababisha vifo ikiwemo malaria, magonjwa ya watoto wadogo, chanjo n.k.
Uzoefu katika wilaya HIZI mbili hapa Tanzania unaonyesha kuwa kuwekeza katika mifumo ya afya ili kuongeza ufanisi katika utoaji huduma za afya na kulenga matatizo muhimu ya kiafya kunaweza kuleta manufaa.
www.idrc.ca /fr/ev-68378-201-1-DO_TOPIC.html   (774 words)

  
 About OCCI - Branches
This wilaya lies 85 kilometres West of the Capital Muscat and is the birthplace of the historical figure of Mazin Bin Ghudhoba, who was the first Omani to embrace Islam.
This Wilaya is the gateway of the Dakhliya region from the West side and it lies around 295 kilometres from the Capital Muscat.
The residents of the Wilaya are mostly engaged in animal breeding.
www.chamberoman.com /aboutus_occi_branches_nizwa.asp   (1946 words)

  
 Algeria Wilayat   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
The system was reformed and expanded (from fifteen provinces to forty-eight) by the Wilaya Charter of 1969, which enumerated a specific legal code for the government of the provinces.
Each wilaya is also governed by a wali, or governor, who is appointed by the president and is the latter's direct political representative at the regional level.
Wilaya government is responsible for the distribution of state services; the regulation of small and medium-sized industry, agriculture, tourism, road transport and education institutions; and the creation of new state-owned enterprises.
www.country-studies.com /algeria/wilayat.html   (219 words)

  
 Wilayah - Wikipedia, the free encyclopedia
For Morocco which is divided into provinces and wilayas this translation would cause the distinction to cease.
In Indonesian wilayah means area, region or regional, but does not refer to a level of government.
The provinces of the Ottoman Empire were called vilâyet – the Turkish pronunciation of the Arabic word wilaya.
en.wikipedia.org /wiki/Wilaya   (439 words)

  
 kitaifano1
Nakala za barua hiyo zimepelekwa kwa Waziri Mkuu, Bw Frederick Tluway Sumaye pamoja na Mkuu wa Polisi wa wilaya ya bagamoyo kuwataka walinde haki na uslala wa wananchi hao endapo viongozi wa serikali wanaohusika na suala hlo wataamua kutumia nguvu kujaribu kulitatua.
Akifafanua zaidi juu yasuala hilo mkuu huyo wa wilaya alisema migogoro mingi inawakabili watu wenye uwezo mdogo hasa pale wanapogombea mipaka au mashamba na watu wenye uwezo ambao hutumia uwezo wao kuwakandamiza wanyonge.
Malieta alisema katika wilaya ya mbulu mipaka ya mashamba imekuwa ni kero kubwa kwa wananchi ambapo hata hivyo alisema ofisi yake katika jitihada zake za kutatua migogoro ya ardhi imekuwa ikitembelea sehemu zote zenye migogoro na kuwakutanisha wageni wote ili kupta muafaka kutoka pande zote.
kiongozi.tripod.com /habarino1.html   (3068 words)

  
 Read about Wilaya at WorldVillage Encyclopedia. Research Wilaya and learn about Wilaya here!   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
A wilaya is an administrative subdivision usually translated as province.
Note: The governorates of Iraq (muhafazah) are often translated as province, in opposite to official Iraqi documents and the general use for other arab countries.
For Morocco which is divided into provinces and wilayas this translation would cause losing information.
encyclopedia.worldvillage.com /s/b/Wilaya   (149 words)

  
 HizmetBooks
Wilaya means nearness to Allahu ta'ala, and it is bestowed on those who have driven out of their hearts the thought of creatures.
In fact, the descent is also of wilaya as the ascent is. Wilaya consists of jadhba (attraction) and suluk (progress by endeavoring), which are the two main corner-stones of wilaya but non-essential for the excellences of prophethood.
Attaining to the wilaya of a prophet is equivalent to attaining a part of this wilayat khassa.
www.hizmetbooks.org /Advice_for_the_Muslim/wah-18.htm   (5092 words)

  
 Abdelaziz: Moroccan geography. Map. Regions. Towns and cities.
Wilaya and county town of the Region Souss-Massa-Draa, between High Atlas and Anti-Atlas, Agadir in Berber means "high town" and is the Amazigh Berbers capital.
Wilaya and county town of the Region Meknes-Tafilalt, between the Rif Mountains and Middle Atlas, the town is populated by
Rabat is the administrative capital of Morocco, a wilaya and the county town of the Region Rabat-Sale-Zemmour-Zaër.
www.geocities.com /SiliconValley/Heights/7511/MorMapE.htm   (1810 words)

  
 Kisarawe na mkakati wake wa kusukuma kasi ya maendeleo   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Hata hivyo afisa huyo anasema kuwa, katika kipindi cha miaka miwili mfululizo, Wilaya hiyo ina uhaba mkubwa wa chakula kufuatia ukame wa mvua, ambapo tani za chakula zimepungua toka tani 267,605 kwa mwaka 2000 hadi tani 233,166 mwaka huu.
Pamoja na mafanikio hao Wilaya hiyo bado ina upungufu wa walimu wa shule za msingi na sekondari ambapo akafafanua kuwa itafanya kila iwezalo kuajiri walimu wapya ili kukabili tatizo hilo.
Ndongole amesema kuwa pamoja kuboresha huduma hizo pia Wilaya hiyo inahamasisha jamii kujenga nyumba za waganga ili kuwapa moyo wa kutenda kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa kutokana na kuondolewa kero ya makazi yao.
www.uchaguzitanzania.com /new/articles/326/1/Kisarawe-na-mkakati-wake-wa-kusukuma-kasi-ya-maendeleo   (1319 words)

  
 UNDP-POGAR: Country Index: Web Links
Algeria - Province of (Wilaya) Ain - Temouchent [in French]:
Algeria - Province of (Wilaya) Bejaia [in French]:
Algeria - Province of (Wilaya) Bordj-Bou-Ariridj [in Arabic]:
www.undp-pogar.org /countries/links.asp?cid=1&thid=6   (42 words)

  
 SEKTA YA MAMBO YA KALE
Katika mwaka 2004/2005, Wizara itatekeleza mpango wa usimamizi shirikishi wa misitu katika wilaya 37 kwenye Mikoa ya Morogoro, Lindi, Iringa, Mbeya, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida, Dodoma, Tabora, Kigoma, Rukwa, Mwanza, Kagera na Shinyanga.
kuboresha usimamizi wa uvunaji wa mazao ya misitu, utoaji wa leseni za kuvuna miti utashirikisha wilaya na serikali za vijiji.
Katika mwaka 2004/2005, Wizara itatoa huduma za ugani katika wilaya 10 na kutangaza hifadhi 4 za nyuki za vijiji.
www.tanzania.go.tz /budgetspeech/2004/utalii040727.htm   (3948 words)

  
 An-nuur Na. 213
Mahakama ya Wilaya, mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi, yana mamlaka ya kusikiliza mashauri yote ya jinai katika wilaya yake.
Mahakama ya Wilaya na Mahakama ya Hakimu Mkazi yana uwezo wa kusikiliza karibu makosa yote ya jinai isipokuwa yale makubwa sana kama vile mauaji, uhaini, ujasusi na kadhalika.
Mamlaka mengine makubwa ya mahakama ya wilaya in kusikiliza rufani na kufanya mashahihisho ya mashauri kutoka mahakama ya mwanzo (F. 22, Sheria ya Mahakma ya Mahakimu, i.h.j).
www.igs.net /~kassim/an-nuur2/213/sheria213.htm   (850 words)

  
 WILAYA   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
WILAYA OF GUELMIM-ES SEMARA AND PROVINCE OF GUELMIM
WILAYA OF THE GHARB-CHRARDA-BNI HSSEN AND PROVINCE OF KENITRA
WILAYA OF TADLA-AZILAL AND PROVINCE OF BENI MELLAL
www.mincom.gov.ma /english/reg_cit/wilayas.html   (618 words)

  
 Tasawwuf and Tariqats are not invented   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
'Wilaya' means 'the state of being close to Allahu ta'ala.' The closeness of human beings to Allahu ta'ala is of two kinds.
The 'ulama' of tasawwuf (rahmat-Allahi 'alaihim ajmain) have said that wilaya has seven stages, five of them being the annihilation of the five latifas, namely the qalb, ruh, sirr, khafi and akhfa; the sixth, the annihilation of the nafs; the seventh, the annihilation of the substances of the body.
However, attaining to [the very] wilaya is a favor of Allahu ta'ala; He bestows it upon those whom He wishes, and it cannot be obtained by labor.
www.ummah.net /Al_adaab/wah-33.html   (7248 words)

  
 Are Guerillas unbeatable ?
From the six Wilaya of the insurgency territorial organization, Wilaya 4 was at the center of the Algerian war.
With Wilaya 3 (Kabylia territory), they were the only areas where guerrilla leaders, regardless of their ranks, lived with the people and fought alongside their men, from the beginning until the end of the war.
He was Commander in chief of Wilaya 4, killed in battle on May 5 1959 in Ouled BouAchra, south of the city of Médéa.
madoui.chez.tiscali.fr /madoui.synopsis.html   (3655 words)

  
 Empres Transboundary Animal Diseases Bulletin No. 14/2 - Radiscon   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
A strong suspicion of bluetongue (BT) was reported on 16 July 2000 in four farms located in the wilaya of El-Tarf, in the communes of Bouhadjar, Zitouna, Bougous and El-Tarf bordering Tunisia.
Another outbreak was reported a day later in the wilaya of Skikda, in the commune of Baccouch Lakhdar in four neighbouring farms.
The latest outbreak observed was on 5 August 2000 in the wilaya of Tebessa in the commune of Lahouidjbet.
www.fao.org /DOCREP/003/X8491E/X8491e07.htm   (1395 words)

  
 Islamica Community Forums - Can Muslims Have Non-Muslims as Friends? - The Concept of Wilaya in the Qur’’an   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Words, both nouns and verbs, derived from the root wa-la-ya are ubiquitous in the Qur’an.
That this was also the understanding of medieval Muslim theologians is confirmed by the rule, accepted by a majority of jurists, that non-Muslims could exercise political power (wilaya) over Muslims so long as in so doing they were merely implementing the commands of Islamic law.
This type of authority was known in Islamic law as wilaya tanfidhiyya, which corresponds roughly to modern notions of executive authority, i.e., the right and duty to enforce the law.
www.islamicaweb.com /archive/t-9405   (1627 words)

  
 BCSTimes.com>>Majira-News   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
WAKURUGENZI wa Halmashauri za Wilaya wamekuwa kikwazo cha utekelezaji wa miradi, imeelezwa.
Waziri huyo aliyasema hayo wakati wa hafla ya makabidhiano ya magari na pikipiki kwa Halmashauri za Wilaya kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RWSSP).
Wilaya zingine ni Manyoni, Singida Vijijini, Iramba na Igunga ambapo Vijiji 28 vya Wilaya za Rufiji, Mpwapwa na Kilosa vyenye wakazi zaidi ya laki moja vimepata maji kupitia mradi huo.
bcstimes.com /majira/viewnews.php?category=1&newsID=3946   (254 words)

  
 TANZANET - The Tanzanian Electronic Networking Community - BENKI YA DUNIA YASAIDIA WILAYA 12   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Akifungua mafunzo ya siku nne ya wataalamu wa sekta mbalimbali za wenyeviti wa halmashauri za wilaya hizo 12, Mratibu wa Utekelezaji wa Mradi huo, ambaye pia ni Mhandisi wa Wizara ya Maji na Maendeleo ya Mifugo, Gabriel Lwakabare, amesema vijiji 250 vyenye wakazi zaidi ya 750,000 vitafaidika kwa mradi huo.
Mratibu huyo amesema utekelezaji wa mradi huo wa maji katika wilaya hizo 12 utaanza katika wilaya tatu za awali ambazo maandalizi yake yamekamilika.
Amezitaja wilaya hizo kuwa ni Rufiji (Pwani), Kilosa (Morogoro) na Mpwapwa (Dodoma) ambapo vijiji 30, vikiwamo vijiji 10 katika wilaya, vyenye jumla ya wakazi zaidi ya 100,000 vitaanza kufaidika kwa mradi huo.
www.tanzanet.org /article1383.html   (372 words)

  
 TranslatorsCafe.com Forums : Arabic : Wilaya?
Indeed a Wilaya is an administrative division, it may be kept as it is or translated in French by "Gouvernorat" and in English probably as "Government district".
I know that Wilaya is translated as Wilaya or wilaya (no capitals in Arabic, so how could one tell other than grammatically).
Wilaya in bigger countries (with wider areas) is "Province", just like the provinces of Canada.
www.translatorscafe.com /cafe/MegaBBS/thread-view.asp?threadid=3188&start=1   (1407 words)

  
 TANZANET - The Tanzanian Electronic Networking Community - CHEO CHA MKUU WA WILAYA KIFUTWE - MBUNGE   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
MBUNGE wa Hai, Bwana Freeman Mbowe (CHADEMA), ameitaka Serikali ifute vyeo vya MKuu wa Wilaya na Katibu Tarafa kwa madai kuwa vyeo hivyo havipo kikatiba.
Mbunge huyo alisema kuwapo wakuu wa wilaya licha ya kwenda kinyume na Katiba ya nchi, kumeongeza matumizi makubwa kwa Serikali.
Alisema kuwapo Wakuu wa Wilaya, ingawa ni kinyume cha Katiba, kunaingilia utendaji wa Wakurugenzi wa miji, halmashauri, manispaa na madiwani kwa jumla.
www.tanzanet.org /article1415.html   (576 words)

  
 Winne.com - Welcome
Annaba, about 585 000 inhabitants, 600 km from the capital Algiers and 100 km from the Tunisian frontier, is located in the far Eastern region of Algeria.
The wilaya of Annaba is limited geographically by :
The wilaya of Annaba is divided into 12 municipalities and 06 daïrate (prefectures).
www.winne.com /algeria3/bf01.html   (464 words)

  
 Morocco Prefectures
I have received a communication from Alan Pritchard, of The Global Gazetteer, quoting an informant of his based in Egypt.
According to the latter, the best English word for wilaya (or wilayah or wilayat, plural wilaya'at) is state.
Morocco, he says, is divided into 16 wilaya'at, and each wilaya is subdivided into prefectures and provinces.
www.statoids.com /yma.html   (1013 words)

  
 Religious cults, sects, movements and doctrines - Shi'a
Though there are various interpretations, Shi'ites generally believe that the wilaya has been passed down through the subsequent generations of `Ali's descendants.
They further believe that this ''cycle of the wilaya'' will continue until the last day when humankind will be resurrected and judged (see Kerr, 1982, p.
The majority faction within the Shi'a branch, known as the Imamis (most of whom live in Iran), believes that the completion of the wilaya cycle will end with the messianic return of the twelfth imam.
www.apologeticsindex.org /s31.html   (530 words)

  
 Wilaya de Aïn Defla in Algeria - Viovio! Travel
Wilaya de Aïn Defla in Algeria - Viovio!
Contribute your knowledge and become a vital part of the Viovio community.
Counties and Districts in Wilaya de Aïn Defla
www.viovio.com /Earth/Africa/Algeria/An_Defla   (298 words)

  
 Kijiji cha Lunga Kata ya Lugoba Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Tanzania   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Bibi Hawa Ngurume amewalaumu wazazi wanaomdumaza mtoto wa kike kielimu kwa kutomhimiza kusoma na kumuoza mapema.
Akizungumza kuhusiana na hotuba ya Mwalimu Mkuu, Mkuu wa Wilaya alisema kwa miaka saba kupoteza wanafunzi ishirini kati ya wanafunzi 123 ni mafanikio makubwa kwani sababu za kutoka shuleni sio moja ni pamoja na uhamisho kwenda shule nyingine.
JUMLA ya wanafunzi 46 wa shule ya Sekondari Lugoba iliyoko Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani wanafadhiliwa na wahisani katika masomo yao.
www.lungalugoba.or.tz /lunga_mwezi.htm   (1120 words)

  
 BCSTimes.com>>Majira-News   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Bw.Mtambalike anayekuwa Mkuu wa Wilaya wa kwanza nchini kutangaza kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa ya uongozi nchini, alitangaza azma yake hiyo jana wakati akizungumza na waandishi habari katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), kampasi ya Iringa, mjini hapa.
Alisema amefikia uamuzi huo baada ya kushawishiwa na wananchi wa sehemu mbalimbali ambao amepata kufanya kazi naye akiwa mtendaji wa Serikali na Mkuu wa Wilaya.
Alisema uzoefu wa kiuongozi ambao anao kutokana na kufanya kazi serikalini kwa muda mrefu na kushika wadhifa wa ukuu wa wilaya katika wilaya mbalimbali zikiwemo za Ngara, Tabora, Igunga, Tunduru na sasa Ludewa hali inayomuuongezea sifa zaidi.
bcstimes.com /majira/viewnews.php?category=1&newsID=4606   (350 words)

  
 Solwa.org: Solwa iko wilaya ya Shinyanga, mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania - Hali ya jiografia na kiutawala   (Site not responding. Last check: 2007-11-06)
Solwa.org: Solwa iko wilaya ya Shinyanga, mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania - Hali ya jiografia na kiutawala
Mkoa wa Shinyanga una wilaya sita: Shinyanga, Maswa, Bukombe, Kahama, Meatu na Bariadi.
Tangu mwaka 1985, Wilaya ya Shinyanga imegawanywa sehemu mbili: Shinyanga Mjini na Shinyanga Vijijini.
www.solwa.org /article2.html   (248 words)

  
 An-nuur Na. 193
Aidha, Waislamu wameishutumu amri ya Mkuu wa Wilaya kwa kuiita kuwa ni ya "kidhalimu" na kuongeza kuwa hiyo ni sehemu ya mikakati ya Kanisa dhidi ya Uislamu ambayo walisema mara nyingi imekuwa ikitekelezwa kikamilifu na mawakala wake walio serikalini.
Alisema uongozi huo unafahamu fika kuwa si uongozi wa wilaya tu bali hata uongozi wa mkoa pia kisheria hauna mamlaka yoyote ya kutoa vibali kuruhusu kufanyika kwa mihadhara ya dini au kuifungia.
na sisi tunamwambia Mkuu huyo wa Wilaya kwa sasa tuko tayari kwa lolote", alisema Ustadh Magezi na kuongeza kuwa "kinachowakera watu hawa ni kule kusilimu makundi ya Wakristo".
www.igs.net /~kassim/an-nuur2/193/193-11.htm   (589 words)

Try your search on: Qwika (all wikis)

Factbites
  About us   |   Why use us?   |   Reviews   |   Press   |   Contact us  
Copyright © 2005-2007 www.factbites.com Usage implies agreement with terms.